Hifadhi ya Matumbawe ya Kisiwa cha Chumbe (CHICOP) kwa kushirikiana na Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi Zanzibar na Jumuiya ya Wanasayansi wa Bahari ya Magharibi ya Bahari ya Hindi (WIOMSA) inaandaa mashindano ya sanaa ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa ya Bahari Duniani 2022 “Uhuishaji: Hatua ya Pamoja kwa Bahari: Kuangazia jamii, mawazo, na masuluhisho ambayo yanafanya kazi pamoja kulinda na kuhuisha bahari na kila kitu inachokidumisha.”
Competition question: How do you and your community protect the ocean?
Swali la mashindano: Je, wewe na jamii yako mnalindaje bahari?
The organisers invite drawings that demonstrate how you and your community protect the ocean.
Waandaaji wa mashindano wanapendekeza michoro inayoonyesha jinsi gani wewe na jumuiya yako mnavyolinda bahari.
Contest Guidelines/Miongozo ya Mashindano
❖Who can participate/Nani anaweza kushiriki
✓ students currently registered in secondary schools (government and private)
✓ wanafunzi waliosajiliwa kwa sasa katika shule za sekondari (serikali na binafsi)
✓ age 15 to 17
✓ umri wa miaka 15 hadi 17
✓ female students are highly encouraged
✓ wanafunzi wa kike wanahimizwa sana
❖ Important dates/Tarehe muhimu
Launching date: 25th May 2022
Tarehe ya uzinduzi: 25 Mei 2022
Submission date: 1st June 2022
Tarehe ya kuwasilisha: 1 Juni 2022
❖ All drawings should be originals, captured on A4 paper and are not allowed to have any words in them.
Please state name, age and contact details at the backside of the drawing.
Michoro yote inapaswa kuwa ya asili, iliyonaswa kwenye karatasi ya A4 na hairuhusiwi kuwa na maneno yoyote ndani yake. Tafadhali taja jina, umri na maelezo ya mawasiliano nyuma ya mchoro
❖ Entries will be judged based on: (Michoro itapewa maksi kulingana na)
✓ Link to WOD theme (45%)
✓ Ikigusia dhamira ya Siku ya Bahari Duniani (45%)
✓ Aesthetics (35%)
✓ Uzuri/urembo (35%)
✓ Creativity (20%)
✓ Ubunifu (20%)
❖ Submission of drawings delivered to Chumbe’s Head Office before submission date:
Michoro yote iwasilishwe ofisi kuu za Chumbe kabla ya tarehe kuwasilishwa:
Chumbe Island Coral Park, PO Box 3203
SH/KS/06H
Kiembe Samaki, Zanzibar
Winners and prizes/Washindi na zawadi
The 12 most creative drawings (6 each from government and private school) will be selected by a panel of three independent judges and awarded with an environmental education trip to celebrate World Ocean Day
with hands-on activities on Chumbe Island on Wednesday, June 8th
Michoro 12 yenye ubunifu zaidi (6 kila moja kutoka shule za serikali na binafsi) itachaguliwa na jopo la majaji watatu wa kujitegemea na kutunukiwa safari ya elimu ya mazingira kuadhimisha Siku ya Bahari Duniani kwa shughuli za vitendo katika kisiwa cha Chumbe siku ya Jumatano, Juni 8.
We look forward to receiving your entries and remain at your disposal for any further questions.
(Salim A. Salim 0622214166).
Asanteni sana
The Chumbe Team